By: Iddi Ssessanga, Jennifer Holleis
Vita kati ya Marekani, Israel na Iran vimezilazimisha nchi za Ghuba kutathmini upya dhana zao za muda mrefu kuhusu usalama, ushirikiano wa kijeshi na utulivu wa eneo hilo. Je, hali hii ina maana gani kwa kanda hiyo?













