By: Mohammed Khelef, Martina Schwikowski
Kanisa la Orthodox la Urusi linaanza kupata ushawishi kidogo kidogo lakini kwa uhakika barani Afrika, na wataalamu wanasema kuwa Urusi inautumia utanukaji wa kanisa hilo kama njia ya kujenga nguvu kupitia imani ya kidini











